.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BARUA YAWAZI YA DAVID MOYES KWA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED

David Moyes: Sure of upturn in Manchester United's form

- Feisal Pinto
Moyes anaendelea kuiona nafasi yake kama kocha wa manchester united ikienda vibaya ikiwa mpaka sasa yupo nafasi ya 7 katika ligi kuu Uingereza, akiwa ametolewa kwenye makombe yote ya Nyumbani, huku akitakiwa kushinda magoli zaidi ya 2 ili kuendelea kubaki kwenye kombe la mabingwa Ulaya 

mashabiki wameshuhudia vipigo vitano ndani ya kiwanja cha nyumbani(Old Trafford) tangu Moyes ambae alikua kocha wa zamani wa Everton kubeba mikoba ya Sir Alex Ferguson wakati wa majira ya joto ila Moyes ameweka ahadi ya maendeleo.

Hii ndio Barua ya wazi ya Moyes kwa klabu ya manchester united


"Nilivyokua nachukua kazi hii nilijua itakua na changamoto nyingi sana, Msimu huu mgumu niliopitia sio kitu ambacho nilitegemea, pia na uhakika hata mshabiki hawakutegemea na wachezaji wangu, na wafanyakazi pia tupo tayari kufanya kitu ili kuweza kujaribu kuweka sawa

"Mlishazoea kuona Manchester united yenye mafanikio na support yenu mliokua mnaendelea kuwapa wachezaji na mimi katika msimu wote ulikua unatupa moyo."

"Mashabiki waliokua wanasafiri tukiwa na mechi za nje mmeendelea kuwa pamoja na sisi pia tulipokua Old Trafford uwepo wenu ulikua unaonekana na bado tuna wajali"

"Kushabikia timu yako pindi inaposhinda ni jambo raisi sana ila ni ngumu  wakati ipo katika wakati mgumu, ila kwa upendo mlionesha kipindi hiki umekua mzuri sana."

"Tuta hakikisha tunapiga hatua kubwa kubadilisha Old trafford kama ilivyokua inajulikana zamani, na tatafanya kila kitu kwa nguvu zetu ili kuweza kupata matokeo mazuri, ili tuweze kuwapa chakusema mashabiki wa timu yetu."


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad