Mchezaji wa Zenit,Tomas Hubocan akitokwa na damu nyingi baada ya kugongana na mchezaji wa Dortmund, Robert Lewandowski. |
Mechio ilikuwa na fujo nyingi huku mchezaji wa Zenit,Tomas Hubocan kutokwa na damu nyingi baada ya kugongana na mchezaji wa Dortmund, Robert Lewandowski.
Mashibiki wa Zenit walionekana wakichoma bendera ya Ujerumani wakati timu yao ikiwa inampa kichapo dortmund katika kiwanja chake cha nyumbani
Kwa upande wa Dortmund ambao wameingia hatua ya robo fainali, watamkosa mshambuliaji wao Robert Lewandowski katika mechi ya kwanza ya robo fainali baada ya kupewa kadi ya njano katika mechi hio ya jana.....
0 comments :
Post a Comment