Kupitia website yao, Bayern Munich inayoshiriki ligi kuu England wametangaza kuhusu Arjen Robben kusaini mkataba mpya utakao muweka katika klabu hio mpaka 2017 mwezi wa sita.
Robben ambae mkataba wake ulikua uishe 2015 majira ya joto, huku timu nyingi zikiwa zinafatia hatma yake katika klabu hio.
Hivi karibuni Robben alitangaza yakwamba muda unahitajika kbla ya yeye kutia sign mkataba mpya na sasa ameshaweka wino kwenye karatasi za mkataba.
"Nina furaha nimesha saini mkataba wangu na nitaendelea kugombania makombe nikiwa na Bayern Muniich," alisema Robben mwenye miaka 30 sasa.
"Nina miaka mitano na Bayern na mitatu inakuja. Hii inaonesha ni jinsi gani mie na familia yangu tunafurahia maisha ya Munich na ya Bayern.
"Nina matumaini ya kuwepo miaka mingi ijayo na kushinda makombe mengi" aliongezea Robben
Robben alipokua Real Madrid kabla ya kuhama mwaka 2009 |
Robben alijiunga na Bayern akitokea Real Madrid majira ya joto mwaka 2009 na kuweza kutwa makombe mawili ya ligi kuu Ujerumani, makombe mawili ya DFB Pokals na Kombe la mabingwa ulaya moja.
Huku akiwa ameshavaa jezi ya Groningen, PSV na Chelsea
Robben alipokua Chelsea akiwa ameshikilia Kombe la Ligi kuu England baada ya kutwa akiwa na timu hio |
0 comments :
Post a Comment