.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

List ya makocha na wachezaji wa soka wanaolipwa vizuri duniani. Messi vs Ronaldo nani juu?

Screen Shot 2014-03-18 at 9.54.45 PMJarida linaloheshimika kwa kiasi katika ulimwengu wa soka duniani ‘France Football’ leo hii limechapisha listi ya wachezaji na makocha 20 wanaolipwa fedha nyingi ndani ya msimu mmoja.
Mapato ya wanasoka hao yamejumuishwa kutoka kwenye mishahara yao, na mikataba mbalimbali waliyonayo ya kibishara pamoja na bonasi wanazopata.
WACHEZAJI WALIONGIZA FEDHA NYINGI MIEZI 12 ILIYOPITA
  1. Lionel Messi – €41m
  2. Cristiano Ronaldo – €39.5m
  3. Neymar – €29m
  4. Wayne Rooney – €24m
  5. Zlatan Ibrahimovic – €23.5m
  6. Radamel Falcao – €21.2m
  7. Sergio Aguero – €19.7m
  8. Thiago Silva – €17m
  9. Eden Hazard – €16.8m
  10. Franck Ribery – €16.5m
  11. Fernando Torres – €16.2m
  12. Yaya Touré – €16m
  13. David Silva – €15.5m
  14. Gareth Bale – €14.5m
  15. Bastian Schweinsteiger – €14.5m
  16. Luis Suarez – €14.2m
  17. Mario Gotze – €13.9m
  18. Philip Lahm – €13m
  19. Gianluigi Buffon €12.9m
  20. Blaise Matuidi €12.9m
MAKOCHA WALIONGIZA FEDHA NYINGI MIEZI 12 ILIYOPITA
  1. Jose Mourinho – €17m
  2. Pep Guardiola – €15m
  3. Roberto Mancini – €14m
  4. Carlo Ancelotti – €13.5m
  5. Fabio Capello – €12m
  6. Marcelo Lippi – €11.5m
  7. Arsene Wenger – €9.6m
  8. Roberto Di Matteo – €8.2m
  9. Andre Villas-Boas – €6.9m
  10. Rafael Benitez – €6.8m
  11. Luciano Spalletti – €6.5m
  12. Jurgen Klopp – €6.5m
  13. David Moyes – €6.4m
  14. Manuel Pellegrini – €6.4m
  15. Walter Mazzarri €6.1m
  16. Gerardo Martino – €5.4m
  17. Antonio Conte – €5.4m
  18. Claudio Ranieri – €5.2m
  19. Laurent Blanc – €4.2m
  20. Jorge Jesus – €4m
*Villa-Boas na Di Matteo wanaonekana kushika nafasi nzuri kwenye listi kwa sababu bado wanalipwa mishahara yao na Chelsea pamoja na Tottenham bbada ya vilabu hivyo kuwavunjia mikataba yao

SOURCE: Millardayo.com
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad