.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Picha 3 za jinsi uwanja wa timu ya David Beckham utakavyokua, mpaka na night club ndani.


article-2587584-1C873B2A00000578-380_964x542
Picha ya eneo la Port of Miami utakapojengwa uwanja huo

Picha za kwanza muundo wa uwanja wa soka utakaokuwa ukitumiwa na timu mpya inayomilikiwa na David Beckham zimetoka ambapo utakua ni uwanja unaoweza kuingiza watu elfu ishirini na tano na unatarajiwa kujengwa katika eneo la Port of Miami, Marekani.
Unaambiwa pia ndani ya uwanja huu wa kisasa kutakuwa mgahawa mkubwa pamoja klabu ya usiku.
article-2587584-1C873B3600000578-27_964x510
Kingine ni kwamba uwanja huu ambao bado haujapewa jina utakuwa ukichezewa mechi 17 kwa msimu wa ligi kuu ya Marekani.

article-2587584-1C873B2E00000578-130_964x543
Uwanja utakavyokuwa kwa ndani
 
article-2587584-1B37BCC400000578-66_964x614
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad