| Waandishi waHabari wakipiga picha wakati ufunguzi wa mpango wa kiwanja hicho kipya |
Kiwanja hicho kipya kitakuwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 52,500 huku kikiwa na uwezo wa kubeba hata mashabiki 60,000 kwenye mechi kubwa.
Kiwanja hicho kitaigharimu Roma kiasi
cha Euro million 300, huku inakadiriwa kuwa kiasi kitapanda ukijumlisha
na Usafiri pamoja na matunzo. oma ambao wanatumia kiwanja (Stadio Olimpico) na Lazio
| Hiki ndio kiwanja wanachotumia sasa Roma pamoja na lazio |
Muonekano wa kiwanja hicho umetengenezwa na
Mchoraji wa Kimarekani, Dan Meis, ambae amechora michoro ya viwanja
vingi nchini Marekani, na kiwanja cha Saitama kilichopo Japan.
|
| Kocha wa Roma Rudi Garcia (kulia) na wachezaji Francesco Totti (kushoto) and Danielle de Rossi katika uzinduzi wa mpango wa kiwanja kipya |
Huku pia kutakuwa na kiwanja cha mazoezi nje ya kiwanja hicho kipya, Pia kiwanja hiki kipya kitawafanya mashabiki kuwa karibu.

Raisi wa timu hio Ames Pallotta amesema kiwanja hicho kinategemewa kuwa tayari kutumika msimu wa 2016-2017
![]() |
| Kiwanja wanachotumia Roma kwa sasa ambapo mashabiki wanakuwa mbali na mpira unapochezeka.... |

0 comments :
Post a Comment