Ni
moto ambao umetokea kwenye gorofa ya tano ya jengo moja huko Houston
Texas Marekani ambapo kikosi cha zimamoto kilifanya pia jitihada za
kumuokoa fundi ujenzi mmoja aliekua kwenye gorofa hilo dakika za mwisho
wakati moto umeshashika. Video ilirekodiwa na shuhuda aliekua kwa mbali, unaweza kuitazama hapa chini…
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment