Hii imetokea huko Swidish baada ya familia ya Bengtsson-Korsås kupatwa na wasiwasi baaada ya paka wao kukataa kuingia Jikoni.
Baada ya msako mkubwa na kuweka mitego mingi sana mpaka panya mkubwa sana mwenye urefu wa Inch-15 kupatikana.
"Tulianza kushangaa baada ya paka wetu kuanza kukataa kuingia jikoni, kwani ni sehemu anayopenda kukaa, ikatubidi tuweke mitego na ndipo tukamkamataa panya huyu mwenye urefu wa Inch-15, tulistuka sana" alisema Signe Bengtsson-Korsås
0 comments :
Post a Comment