Hii imetokea huko Russia baada ya msichana mwenye miaka 33 kugongwa na gari, ni baada ya msichana huyu kuvuka barabara huku akiwa anaongea na simu na kumsababishia kutokuzingatia na kutokuona gari likiwa linakuja na kumfanya akimbizwe hopitalini,
SHUKA CHINI KUANGALIA VIDEO HIO.....
Msichana huyo ambae aliumia kicha na mkono, alifikishwa hospitalini na kutibiwa na kisha kuruhusiwa kwenda kuuguzwa nyumbani, Huku bado aijajulikana kama kati ya msichana huyo au Dereva nani amechukuliwa hatua za kisheria na Polisi.
HII NDIO VIDEO HAPA CHINI
SOURCE: BLOG YA VIJANA
0 comments :
Post a Comment