Maandalizi ya Kupanga mechi hizo |
Mchezaji wazamani Luis figo akionesha timu yakwanza baada ya Kuichagua wakati wakupanga Mechi hizo |
Na hivi ndivyo mechi zitakavyochezwa katika hatua ya nusu fainali ya ligi ya Mabingwa Ulaya Mechi ya Club Atlético de Madrid v Chelsea FC tarehe 22/4/2014 huku mechi yao ya marudiano itachezwa tarehe 30/4/2014 Mechi yakwanza ya Real Madrid v Fc bayern Munchen itachezwa tarehe 23/4/2014 huku mechi ya marudiano itachezwa tarehe 29/4/2014 |
0 comments :
Post a Comment