.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

BARCELONA WAAGA MWILI WA KOCHA WAO TITO VILANOVA LEO


Support: Barca keeper Victor Valdes arrives on crutches after undergoing surgery to his knee injury
Wachezaji pamoja na viongozi wakiwa wanaelekea kwenye Kuuaga mwili wa aliekuwa kocha wao wa zamani Tito Vilanova aliefariki kwa matatizo ya Cancer
Paying respects: (left to right) Barcelona's Victor Valdes, Carles Puyol, Xavi and Andres Iniesta attend Tito Vilanova's funeral
Wachezaji wa barcelona, msatri wa Mbele ni wakongwe kutoka kushoto ni Kipa Valdes,Puyol,Xavi na Iniesta katika hafla ya kuuaga mwili wa kocha wa aliekufa kwa matitzo ya cancer ya koo





Sad day: Barcelona's Brazilian defender Dani Alves (left) and Neymar stand during the religious ceremony
Wachezaji wa Barcelona ambao ni marai wa Kibrazil wakielekea kwenye kuuaga mwili wa Kocha wao Tito Vilanova, kushoto ni Neymar na kulia ni alves


Emotional: Mourners gather at the stunning cathedral in the heart of Barcelona

For you: Star striker Lionel Messi scored for Barca on Sunday before dedicating his goal to Vilanova

Tearful: Messi was visibly upset during the service

Goodbye: Barca coach Gerardo Martino was also in attendance at the Barcelona CathedralPresident of FC Barcelona Josep Maria Bartomeu

Legend: Tito Vilanova has passed away at the age of 45 after losing his battle with throat cancer
Tito Vilanova amefariki akiwa na miaka 45 baada ya kupatwa na matatizo ya Cancer ya kOOkwa kipindi kirefu


Barcelona

Barcelona

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad