MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Flora Mvungi amenaswa akiwafunika vibaya mastaa wenzake kwa kunengua.
Mpambano
huo usio rasmi ulichukuwa nafasi wiki iliyopita katika Ukumbi wa New
Maisha, Masaki jijini Dar ambapo kulikuwa na shoo maarufu kwa jina la
Bunyerobunyero.
Flora
alipoulizwa na mwanahabari wetu juu ya ufundi huo wa kucheza Kibao Kata
kilichokuwa kikipigwa na kuwazidi mastaa kama Kajala Masanja, Zuwena
Mohamed ‘Shilole’ na Halima Haroun ‘Kimwana’, hakuwa tayari kujibu zaidi
ya kuendelea kukatika.
0 comments :
Post a Comment