Baada ya Wimbo wa number One kumpa chat kubwa Nigeria na Africa kwa ujumla. leo Radio kubwa kuliko zote Nigeria Beat 99.9 FM walikuwa wakimuhoji Diamond Platnumz. Hii ni kutokana na wimbo wake kukaaa number moja katika top chat za radio hiyo kwa zaidi ya week moja.
Asante kwa kutembelea BLOG YA VIJANA, naomba ubonyeze HAPA ulike page yetu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.
0 comments :
Post a Comment