Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini.
Katika
hali isiyokuwa ya kawaida wasanii bongo movie mwishoni mwa juma kwenye
pati ya kundi hilo walitumia muda mwingi kumnanga msanii mwenzao
Jackline Wolper eti anakisogo kama katuni Madenge.
paparazi ambaye alikuwepo ukumbini ilishuhudia wasanii wakimsema mwenzao kama hivi:
Msaanii Jackline Wolper akionekana na kibiyongo chake ukumbini.“Huyu nae kujishaua kwanza bichwa kama madenge angalia kichogo chake kule" Alisema mmoja wa wasanii wakubwa tu
0 comments :
Post a Comment