.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

JOHARI AELEZA KUHUSU YEYE KUWEPO KAMPUNI YA RJ NA MAHUSIANO YAKE NA RAY

MUIGIZAJI wa ‘long time’ katika tasnia ya filamu Bongo, Brandina Chagula ‘Johari’ juzi kati amefunguka kuwa kwa sasa hayuko na aliyekuwa akidaiwa kuwa ni mpenzi wake, Vicent Kigosi ‘Ray’ ila yuko katika Kampuni ya RJ ambayo wanashirikiana kisanii zaidi. 
Muigizaji wa Tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’
Akizungumza  katika hoteli ya Johannesburg, Sinza Mori jijini Dar, Johari alisema kuwa kwa sasa angependa atambuliwe kuwa anafanya kazi na Ray katika hiyo kampuni na si kuhusishwa naye kimapenzi.
“Naomba ifahamike kwamba mimi niko RJ na siko na Ray kama watu wengi wanavyozungumza,” alisema Johari kwa kifupi kisha kuendelea na hamsini zake.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad