Mwezi
February kuna picha ya shabiki mmoja wa soka anayeishabikia Manchester
United ilisambaa sana ikimuonyesha kajichora tatoo ya “MoyesOut” kwamba
hataki kabisa David Moyes aendelee kuwa meneja wa timu anayoishabikia.
Sasa baada
ya David Moyes kufukuzwa shabiki huyu ameamua kuiongezea maandishi tatoo
hiyo kuonyesha alivyofurahishwa na kufukuzwa kwake ambapo maneno hayo
yanamaanisha ‘kazi imekamilika’
0 comments :
Post a Comment