wakimbizi kutoka Morocco wakionekana wamenasa katika fensi huku wakiomba idhini yakuingia nchini Hispani |
Wakimbizi zaidi ya 25 kutoka Morocco wamekutwa wamenasa kwenye fensi ya kuingia nchini Hispania huku wakiomba msaada wa kuomba kuingia nchini humo.
Maskari wa kihispania waliokua katika lindo mda huo imewachukua takribani masaa 3 kuwaomba wakimbizi hao wajisalimishe
Polisi hao wa kihispania walionekana wakiowaomba wakimbizi hao washuke kwa amani ili waweze kuwakabizi kwa maskari wa kiMoroco ambao pia walikua hapo kwa nia ya kuwa rudisha nyumbani kwao.
Askari wa nchini hispani wakiwaomba wakimbizi washuke |
Mmoja wa wakimbizi alijisalimisha na kisha kurudishwa nchini Moroco |
0 comments :
Post a Comment