
Nchini Kenya Julius Kipkoitch anaripoti kwamba wakazi wa jiji la Eldoret wamemfanya kila
alieiona hii kuvutiwa na pengine kujua imekuaje wakafanya hivi kwa mara
ya kwanza baada ya kujitosa na kupiga deki barabara ya lami ya Oginga
Odinga jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu nchini Kenya.
Unaambiwa
wameamua kufanya hivi ikiwa ni maandalizi ya kumlaki nabii Daktari
Awuor kwa ajili ya maombi ya leo na siku ya Jumatatu kuadhimisha pasaka na kumshukuru jehova kwa kuwasaidia jiji la Eldoret kufanyika uchaguzi wa amani mwaka 2013
0 comments :
Post a Comment