Baada ya kutembelea usafiri wa Bajaj na Bodaboda kwa muda wa miezi
kadhaa hatimaye hivi karibuni Msanii Ney wa Mitego amedondosha ndinga
aina ya Mark X lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 25 za
kitanzania. watu wengi waliowahi kumwona Ney ndani ya Bajaj walikua
wanajiuliza inakuaje kuaje msanii kama huyu apande usafiri wa Bei rahisi
wakati anatengeneza mamilioni kila weekend kwa show mbalimbali
anazofanya, sasa jibu limepatikana kuwa huenda Ney aliamua kuuza ndinga
alilokua anamiliki mwanza aina ya Alteza kisha akadunduliza na mtonyo
mwingine na kuagizia Mark X.
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment