.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HAMISA MOBETO ACHAFUA HALI YA HEWA INSTAGRAM...

 Hii imetokea siku zilizopita sasa katika pita pita zangu nikakutana nayo nikashindwa kuelewa, basi nikaenda kwenye profile ya gillsaint basi nikakuta ni mwanaume, nikarudi kwenye io post ya Hamisa Mobeto Masaa 23 baadae lakini nikakuta bado hajabadilisha wala hajatoa, sasa izo comments watu walizotoa ikawa noma huku mtangazaji maarufu wa Clouds FM perfectCrispin akiuliza swali la kwanza kuhusu maneno hayo..... picha alioweka Hamisa na maneno alioandika ndo hayo hapo chini...... aya jurge na wewe
 


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad