DE GEA MCHEZAJI BORA WA MWAKA MAN UNITED, GOLI LA ROONEY LACHAGULIWA KUWA BORA ZAIDI MSIMU HUU, ADNAN, WILSON.
Ushindi
mkubwa: David de Gea (katikati) akipokea tuzo kutoka kwa Sir Matt Busby
kama mchezaji bora wa mwaka. (kulia) ni kocha wa muda wa Man United,
Ryan Giggs (right)
MLINDA mlango wa Manchester United, David de Gea amechaguliwa na wachezaji wenzake pamoja na mashabiki wa klabu hiyo kuwa mchezaji bora wa mwaka wa Man united.
Kipa
huyo Mhispania alipokea tuzo hiyo kutoka kwa Sir Matt Busby kama
mchezaji bora wa mwaka baada ya kupata kura nyingi kutokana na kuonesha
kiwango cha hali ya juu msimu huu wa majanga kwa Man United.
De Gea wakiwa na Juan Mata
Mkongwe: Ryan Giggs (kulia) amepewa tuzo na Sir Bobby Charlton kama mchezaji bora wa muda wote wa Man United
Heshima: Wayne Rooney alipewa zawadi na Brian McClair kwa kufunga goli bora zaidi kwa msimu huu
Goli bora: Rooney alifunga goli kali dhidi ya West Ham mwezi machi mwaka huu na limetajwa kuwa goli bora la mwaka Man United
Nyota anayekuja: James Wilson (kulia) alipewa zawadi na Jimmy Murphy kama mchezaji bora anayechipukia wa mwaka
MANCHESTER UNITED 2013/2014 PLAYER OF THE YEAR AWARD WINNERS
Sir Matt Busby Player of the Year - David de Gea
Player's Player of the Year - David de Gea
Goal of the Season - Wayne Rooney vs West Ham United on 22/03/14
Denzil Haroun Reserve Team Player of the Year - Saidy Janko
Jimmy Murphy Academy Player of the Year - James Wilson
Lifetime Achievement Award - Ryan Giggs
About feisal pinto
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment