.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

RAISI WA NIGERIA ATOA TAMKO KUHUSU WASICHANA 200 WALIOTEKWA

Raisi wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametoa tamko la kwamba hakuna maswali ya kuhusu kubadilishana watoto wa kike waliotekwa na Boko haram mwezi mmoja uliopita na wafungwa ambao wanashikiriwa na Serikali.
Ni mwezi mmoja sasa tangu kikundi cha kigaidi kiwateke watoto wa kike 200 katika jibo la Borno nchini Nigeria 


Share on Google Plus

About Blog Ya Vijana

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad