Sunday, 4 May 2014

RIHANNA NUSURA AFUNGIWE INSTAGRAM,... APEWA ONYO KALI SANA

 
Baada ya msanii mwenye jina kubwa Duniani, Rihanna ambae amekuwa kwenye headlines baada ya kutupia kwenye mitandao picha zake zisizokuwa na maadili,




Instagram
Rihanna mwenye wafuasi 12,812,294 kwenye ukurasa wake wa Instagram alipewa onyo na wamiliki wa Instagram mara baada ya kuweka picha sizizokua na maadili kwenye ukurasa wake,
Picha hizo

Instagram walimlazimisha Rihanna atoe picha hizo na kisha kutoweka picha hizo kwani watamfungia akaunti yake milele... 

 Rihanna alitoa picha hizo mara baada ya kupata onyo hilo kutoka Instagram na kisha kuzitupia picha hizo zote kwenye account yake ya twitter ambayo anawafuasi millioni 35.1 ,......
http://feisaljumapinto.blogspot.com/
Twitter

No comments:

Post a Comment