Hii ni straight from ''Didas Facion Turabi'' facebook Account, Kadri tecknolojia inavyo zidi kupanda basi kuna mambo yanapungua... kama hii ya wizi, ni muda sasa tangu google waweke system ya kuifatilia simu yako kama ikiibiwa sasa huyu mwezangu na mie ameiba smartphone alafu anaitumia yeye mwenyewe sasa si ndo google track imemuumbua, kumbe mwenye simu ameshaona simu yake ilipo mpaka adreess ya nyumba yani ... hehe aya sijui atarudisha aombe msamahaa au atakausha..... Endelea kutembelea Blog Ya Vijana ujue mkasa huu utaishia wapi....
- 4 people like this.
- Didas Facion Turabi Yaani ni kiboko dada yangu Salama Khadija Ally sijui hajui maana ya smart phones kama zina link na Google siku hizi. Anatumia tu huku anaona raha
- Abu Nunda Didas Facion Turabi mshamba gani huyo mpaka miaka hii ya leo bado anaiba simu ya mtu!!!!!?
- Didas Facion Turabi Yaani kaka yangu Abu Nunda tena mshamba si mdogo, alafu kwa wehu wake bado eti anaitumia. Daah yaani nimemtoa thamani hatarii.
- Eddie Shebe Hamilton Malume Just embarrass him/her. Muanike hapa mwizi mkubwa. Hajui hata maana ya digital age. Maskini yule kijana wa watu asiye na hatia kachomwa moto na kuungua 85% Iringa wakati sio mwizi kumbe wezi wapo?
- Abu Nunda Didas Facion Turabi hahaha huyo tamaa yake mbaya sana,mtumie tex mwambie akusendie picha zao na vitu vyako ulivyo save kwenye simu yako.
- Didas Facion Turabi Nashangaa Eddie Shebe Hamilton Malume wasio wezi ndo wanachomwa mijizi inaachwa.
- Didas Facion Turabi Nimemtumia msg Abu Nunda anasoma alafu ana ignore kitu kidogo sana kimemkamatisha.
- Eddie Shebe Hamilton Malume Kama yupo hapa ulaya ana bahati hatupigi wezi. Ni mawili tu either mripoti kwa wazee (police) au tandaza ID yoke hapa apewe kipigo cha maneno na dunia nzima.
- Peter Ptt Pett mjanja haibi simu,huyo ni mjinga wa wajinga anahitaji ashtuke,akue kifikira....maisha yanaenda mbele hayarudi nyuma..kuna njia nyingi za kupata hayo material sio kuchukua kinyume ya matakwa yake...omba akupe pumbavvvv weee.57 minutes ago · Like
0 comments :
Post a Comment