.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HAWA NDIO BAADHI YA MASTA KUTOKA AFRIKA WATAKAO PERFORM KWENYE BET 2014

Majina ya wasanii watakaotumbuiza kwenye utoaji wa tuzo  BET Experince mwaka huu zilizopewa yameanza kutangazwa.

Majina ya wasanii wakubwa wa Afrika yaliyotajwa ni pamoja na rapper kutoka Nigeria, Sarkodie, Tiwa Savage wa Nigeria na kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini ambao watajumuika na wenzao kuperform Live katika jukwa hilo, Jumamosi, June 28 huko Los Angeles.

Hii ni mara ya kwanza kwa wasanii walio kwenye kipengele cha International acts kuperform katika tuzo hizo kubwa na zenye heshima zinazoandaliwa na kituo cha Black Entertainment Television (BET).

Diamond Platinumz kutoka Tanzania ni miongoni mwa wasanii wanaowania tuzo hizo kwa mwaka huu, na yuko katika kipengele cha Best International Act akiwa na Mafikizolo, Tiwa Savage, Davido, Sarkodie na Toofan.

Mchekeshaji Chris Rock na Emmy watakuwa hosts kwenye tuzo za BET mwaka huu ambazo zitaangaliwa zaidi na waafrika kulinganisha na miaka ya nyuma kutokana na ushirikishwaji wa ziada wa wasanii wa Afrika.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad