.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

SUPER STAR DIAMON PLATNUMZ KUMRUSHA MPENZI WAKE WEMA SEPETU ANGA ZA JUU KWENYE UIGIZAJI


wemadiamond

Wema Sepetu anatarajia kufanya filamu mpya na wasanii kutoka Ghana ili kutanua wigo wake filamu pamoja na kwenda kimataifa zaidi.

Akizungumza na 225 ya XXL ndani Clouds FM, mpenzi wake na Wema, 
Diamond Platnumz amesema tayari ameshamfanyia mawasiliano na wasanii wa filamu wa Ghana ili kuhakikisha mwaka huu anafanya filamu ya kimataifa.
“Hapa juzi kati kulikuwa na mazungumzo, kuna mtu mmoja anaitwa Frank yupo huko Ghana, ni mtu mkubwa sana, na yeye ndio anaandaaga zile tuzo za Ghana, kwasababu kuna movie anataka kuifanya baby. Hiyo movie wajue kabisa eeh Sepetunga kaachia mashine mpya. So jamaa yule ana link na watu wengi nikajaribu kuzungumza kuwapata actors na actress ambao anaweza kushirikiana nao kwa sababu namna pekee ya kuweza kutanua market yako katika kazi yoyote ni kushirikiana na mtu ambae yupo katika nchi nyingine ili kuweza wewe kupenyeza bidhaa yako wewe na yeye apenyeze bidhaa yake kwako,” alisema Diamon.
“Kama akina Van Vicker sijui akina nani, nimefanya mazungumzo nao kuangalia namna gani wanaweza kufanya movie na movie ifanyike
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad