.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

WIZKID KUTOKA NIGERIA AWA GUMZO NCHINI MAREKANI

CB na Wizkid
Chris Brown na Wizkid
Nyota ya Wizkid imeendelea kung’aa baada ya kuoneka akijiachia  sambamba na mwanamuziki Chris Brown pamoja na mchumba wake mwanamitindo Karrueche Tran ikiwa ni siku chache kupita tangu wawili hao waingie studio kufanya kolabo.
Tukio hilo lililotokea ijumaa ya juni 20 nje kidogo ya hoteli ya The SLS iliyopo eneo la Beverly Hills mjini California huku habari hiyo ikipewa  uzito  na tovuti maarufu  ya UK Dailymail”Hey there : The rapper was seen greeting popular Nigerian artist Wizkid outside the hotel” uliandika mtandao huo.
Hii sio mara ya kwanza kwa Wizkid kuonekana akihang out na mastaa nyota wa marekani kama vile  Akon,Big Sean, Justin Bieber, Tyga, Ty Dollar pamoja na staa wa filamu za Fast & Furious Tyrese Gibson.
Chris Brown na Wizkid wakisalimiana
Chris Brown na Wizkid wakipeana salamu
CB & WKBeverly HillsChris Brown na mpenzi wake Karrueche Tran waitoka hotelini
Tyrese Gibson, Wizkid na Akon wakiwa ndani ya Rolls Royce
Tyrese Gibson, Wizkid na Akon wakiwa ndani ya Rolls Royce
Kaka yake Akon, Abu 'Bu' Thiam, Tyga, Wizkid na Chris Brown
Kaka yake Akon  ‘Abu ‘Bu’ Thiam’, Tyga, Wizkid na Chris Brown

Justin Bieber na Wizkid
Justin Bieber na Wizkid
Hitmaker wa Paranoid ‘TY Dollar Sign’, Wiz Kid na Big sean

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad