.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Je wajua Kumpa mtoto Jina la "Messi" ni sawa na kuvunja sheria Rosario/argentina

Lionel Messi's Hometown Rosario Bans Residents from Naming Their Babies 'Messi'
Na: Blog Ya Vijana 11/9/2014
Lionell Messi ni kati ya washambuliaji mahiri sana katika kikosi cha timu ya taifa ya  Argentina na pia katika klabu ya Barcelona, Messi amekulia katika mji wa Rosario huko Argentina, kutumia kipaji chake ameweza kuutangaza mjii huo na kuufanya uwe miongoni mwa miji maarufu nchini Argentina.
Mundo Deportivo wameripoti taarifa iliotolewa na viongozi wa mjii huo kuhusu sheria mpya ilioongezwa kuhusu kutumika kwa jina Messi kwa watoto wanao zaliwa.
Viongozi wa mjii huo wameongeza sheria mpya ambayo inawazui wazazi kuwapa watoto wanaozaliwa jina la mchezaji bora wa Dunia  "Messi" kama jina lakwanza, huku wakisistiza kwamba hakuna utani katika sheria hio mpya.
Ila wananchi wa Rosario wanaruhusiwa kuwapa watoto wao jina la Maradona. Huku pia jina la Ronaldo linaruhusiwa.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad