.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

KHLOE KARDASHIAN AACHANA NA FRENCH MONTANA

Khloe Kardashian, French Montana
Khloé Kardashian  ni single lady kwa sasa.
Baada ya kuwa katika  uhusiano wa kimapenzi na rapaa maarufu French Montana kwa muda wa Miezi nane, chanzo cha kuaminika kimesema kwamba wawili hao hawapo pamoja tena 
Chanzo kiliendelea kutirirka kwa kusema kwamba Khloe Kardashian amevunja uhusiano na French Montana, ambae bado ana matatizo na kuvunjika kwa uhusiano huo kwani mpaka sasa ataki kukubali. Chanzo hicho kiliendelea kusema kwamba Khloe alikua anavumilia tabia ya Montana huku akijaribu kujitoa kidogo kidogo. Wawili hao bado wanawasiliana na French anajaribu kuweka mambo sawa, "ila mwishoni wataachana kabisa" kiliongeza chanzo hicho. ila yote na yote Khloe ni mwanamke huru tena kwa sasa"
Khloe Kardashian, French Montana
Chanzo kiliongeza kwa sema kwamba Kuachana kwao hakuusiani na French kumtumia umaarufu wa Khloe kuongeza mauzo ya album yake alio achia hivi karibuni. "Mambo hayo hayaja mchanganya khloe kabisa kwa kua hajali watu wanacho fikiria" kilisema chanzo. "Khloe ameamua tu kuendelea na maisha yake"
Japo na kuachana kwao ila chanzo hicho kutoka ndani ya familia kinasema, "Khloe bado anadhani French ni kijana safi sana ila tu sio kwa wao wawili kuwa pamoja"

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad