.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE MAPYA YAIBUKA, NDOA ILIVUNJIKA SIKU NYINGI

wiz-khalifa-amber-rose
Takribani wiki moja tangu Wiz Khalifa na Amber Rose kushika headlines katika vyombo vya habari tofauti Duniani, huku sababu ikiwa na Amber Rose kutaka kuachana na Mume wake Wiz ambae ni mnamo mwaka mmoja sasa tangu wangu ndo mpaka kufikia kupata mtoto wa kiume, Sebastian.
Amber Rose ambae ndo alieanza kutangaza kuhusu kuachana na Wiz pia alifikia hatua yakutangaza kutaka Kupewa majukumu ya Mtoto na Wiz ambae ndo baba asihusike ila ana ruhusa ya kumtembelea tu Sebastian. Yote haya yametokana na Madai ya Amber Rose kwamba Wiz Khalifa alikua akimsaliti kwa kutoka nje ya ndo
 Kutoka kwa vyanzo mbalimbali vinasema Wiz Khalifa amesema, " Yani sitaki kuwa nae kwenye ndoa Tena."
Wiz pia akubaliana na kwamba alikua akimsaliti amber ila amekubali kwamba ndoa yao ilishavunjika mdaa mrefu. Kuepuka ugomvi Wiz aliamua kutoka nje ya nyumba kwa takribani wiki moja na pia kuwambia rafiki zake kwamba ndo yake haipo tena 

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad