Ubaguzi unazidi kuongezeka katika nchi tofauti Duniani. WaAfrika wanabaguliwa katika nchi nyingi sana sana India. Wahindi wanataka India kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Duniani. ila hilo halitoweza kufanyika kwa Wahindi peke yao. Wafrika huenda nchini India Kusoma na wanalipa ada kubwa, pia wanapangisha nyumba zilizo jengwa na wahindi pia wanatumia bidhaa za wahindi. Ila waafrika hunyanyaswa sana Vijana hawa walipigwa wakiwa kwenye stendi tena katika kituo cha polisi kabisa.....
Video Ipo chini
0 comments :
Post a Comment