.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HUU NDIO UJIO MPYA WA WEMA SEPETU KWENYE FILAMU


Kupitia kipindi cha Kili Chat cha hivi karibuni, Wema alielezea kazi zake mpya za filamu anazotarajia kuzitoa hivi karibuni.
“Kwanza ntaanza kuitoa Supastaa, halafu kuna nyingine inaitwa ‘The Unexpected’ and then kuna nyingine ambayo nimefanya na Aunty, nimetoka kushoot juzi tu inaitwa Family. Kwahiyo nina kama movie tatu then kuna a very big project coming,” alisema Wema. 


Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 pia anatarajia kuzindua msimu wa pili wa kipindi chake cha In My Shoes ambapo awamu hii atakuwa akionekana pia mpenzi wake, Diamond.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad