Rapa mkongwe katika gemu ya Hip Hop Bongo, Jay Moe amezungumzia hali ya muziki wa Hip Hop kwa sasa na kusema kuwa, sanaa hiyo imepunguza kama si kupoteza kabisa wasanii ambao wanawakilisha uhalisia wa maisha ya sasa katika rekodi zao.
msanii wa muziki wa hip hop nchini Tanzania Jay Moe
Jay Moe amesema kuwa, kwa sasa Hip Hop imegeukia katika mitindo ya kuchana na si kile ambacho mistari inakibeba akijitolea mfano wa kazi zake ambazo zimekuwa na ujumbe na mistari inayohusu kile alichopanga kuzungumza mwanzo mpaka mwisho.
Source: EATV
0 comments :
Post a Comment