.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Hummer laanza kumtoa jasho Bebe Cool

Msanii wa muziki Bebe Cool wa nchini Uganda, ameripotiwa kushindwa kuendelea kuhimili kuendesha gari yake aina ya Hummer ambapo ameweka wazi sasa mpango wake wa kuliuza na kutafuta gari lingine analoweza kulimudu.
msanii wa Uganda Bebe Cool akiwa na gari lake aina ya Hummer
Staa huyu mkali wa nchini Uganda, kwa mujibu wa vyanzo vya karibu yake amekuwa akutumia gharama nyingi kuliweka gari hili katika oda na kufanya nalo matanuzi, na baada ya miaka miwili sasa ameamua kunyanyua mikono juu kutokana na gharama za kulimudu kuwa juu sana.
Msanii huyu katika kipindi ambacho amekuwa na gari hili ameweza kupitia matukio mbalimbali ikiwepo ajali na vilevile kuwekwa vizuizini na wanausalama kwa mara kadhaa ukiacha muda ambao ametumia kwa mafundi kwa ajili ya marekebisho.
 
 
source: EATV
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad