.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

ROBBEN AKIRI MESSI NA RONALDO NI MATAWI YA JUU



Mchezaji wa timu ya Bayern Munich, Arjen Robben amesema kuwa licha ya kuwa ni mchezaji mwenye uwezo wa  soka, lakini hawafiki wachezaji wengine akina Lionel Messi wa Barcelona au Cristiano Ronaldo wa Real Madrid.

  Mchezaji huyo ametoa hoja hio kutokana na pongezi alizopewa na madau wa soka, Karl-Heinz Rummenigge kuhusu uwezo wake wa uchezaji kuwa ni wa kiwango cha juu.
   Kwa sasa mchezaji huyo ana mabao 17 katika msimu huu wa soka wa mwaka 2014-2015

 Lakini licha ya mafanikio hayo, Robben alisema anaona kuwa itachukua muda kidogo kuja kuyafikia mafanikio ya wachezaji hao akina Ronaldo na Messi.
 "Naona kuwa sifa hiyo ya kufananishwa na hao ni kubwa mno kwangu kwa kuwa ninaona kwanza sio kweli kuwa mimi ni mchezaji  bora wa dunia, lakini hata hao bado sijawafikia," alisema mchezaji huyo wa Uholanzi.

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad