Rapa wa Tamaduni Muzik, Nikki Mbishi amemjibu Nay wa mitego kupitia freestyle ya dakika moja ambayo ameiachia hewani kufuatia hitmaker uyo wa Nakula ujana kumwambia amechelewa kuacha muziki.
Wiki moja iliyopita Mbishi alitangaza kuacha muziki kupitia akaunti yake ya Twitter hali iliyopelekea baadhi ya wasanii wenzake kumtaka arudi kwenye gemu akiwemo Professor Jay.
Katika Freestyle iyo Nikki Mbishi anasikika akisema, ”Hapa ndio place to be, hakuna kusanda kukaza mpaka A to Z, unaongelea Akadumba, who is Nay to me?”, Isikilize Freestyle hiyo hapo chini
0 comments :
Post a Comment