Hitmaker wa I Don’t Get Tired, Kevin Gates amejikuta akirushiwa konde zito la uso baada ya kumkiss shabiki wake wa kike ambae alikuwa ameongonaza na jamaa yake.
Kwa mujibu wa video ya tukio hilo inamuonyesha Rapa huyo wa Chiraq akirushiwa ngumi ya ghafla na mwenye mali kabla ya mabaunsa wake kuingilia kati katika show yake hivi karibuni.
Awali Gates aliwahi kunukuliwa akisema kuwa anapenda kufanya mapenzi kwa njia ya mdogo katika moja ya interview alizofanyiwa na Revolt Tv na huenda hiyo ikawa ni sababu mojawapo ya mwenye mali kutohafiki kitendo chake hicho. Tazama ilivyokuwa hapo chini
0 comments :
Post a Comment