.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

List mpya ya wachezaji 10 matajiri zaidi Duniani, Ronaldo akimbiza




Mchezaji wa klabu ya Real Madrid ameshika nafasi yakwanza katika orodha mpya ya wachezaji matajiri zaidi Duniani akiwa na utajiri wa Paundi Million 152 akiwa amemzidi paundi million 7 mshindani wake mkubwa Lionel Messi wa Fc Barcelona mwenye utajiri wa paundi million 145



Baada yakumuona Ronaldo akiisaidia Real Madrid mwaka 2014 kubeba kombe la ligi la mabingwa ulaya UEFA, kisha kupewa mchezaji bora wa dunia kwa mara tatu ya kisha, sasa ameongeza  utajiri wake dhidi ya mshindani wake, Lionel Messi

Kwa mujibu wa list hii iliotolewa  katika makala ya Wachezaji Matajiri kwenye mtandao wa Goal.com unaeleza kwamba Messi na Ronaldo wanafanikiwa zaidi kuliko mchezaji yeyote anaecheza mpira wa kimataifa

Utajiri hii ni kutokana na Udhamini, Mishahala, Posho pamoja na Bonus.
List Nzima Hii Hapa (ruksa kushare)

1. Cristiano Ronaldo £152.3


2. Lionel Messi £145m

3. Neymar £97.9m

4. Zlatan Ibrahimovic £76.1m

5. Wayne Rooney £74.6m

6. Kaka £69.6m

7. Samuel Eto'o £63.1m

8. Raul £61.6m


9. Ronaldinho £60.2m

10. Frank Lampard £58m 
Frank Lampard  Ferrari 612

Huku kwa uchache wachezaji wengine walioshika nafasi tofauti ndani ya top 20

    12 - Rio Ferdinand £52.6m

     14 - Steven  Gerrad £46.6m

15 - Yaya Toure £44.9m

19 - Sergio Aguero £42m

20 - John Teryy £40.6m 

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad