.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Suarez kushangaza Dunia tena, Safari hii kwa njia nyingine

Luis Suarez will wear the new adidas F50 boots for the first time on Saturday against Ray Vallecano

Luis Suarez atavaa kiatu kipya hiki cha addidas f50 kwa mara yakwanza Barcelona itakapo cheza na Ray Vallecano weekend hii (jumapili 8/3/2015)

Sio ajabu Luis Suarez kushangaza Dunia. Mshambuliaji huyu wa klabu ya Barcelona yupo tayari kufanya hivyo tena weekend hii, inawezakana kikawa kiatu bora zaidi cha mpira kuwahi kutengenezwa.

Kampuni ya addidas f50 imeipa kiatu hicho jina la 'Love/Hate' (Penda/Chukia),  uzuri wa kiatu hicho ni michoro (Tatoo) tofauti kila upande  

Kwa mujibu waliotengeneza kiatu hicho wanasema, design hio ina ashiria ya "Ubunifu na Kujieleza kwamba ni wachezaji wazuri tu ndo wanaweza"




Suarez scored twice to sink Manchester City at the Etihad in the Champions League last week


The footwear, named Love/Hate, has a 'tattoo inspired' design and each boot features a different pattern
Kiatu kilichopewa jina la Love/Hate chenya michoro ya miongozo tofauti. Michoro ya Kulia ni tofauti na Kushoto

Barcelona and Uruguay striker Suarez will be the only player in world football to wear the boots
  
Picha zaidi shuka chini

The left boot, designed to represent Suarez's love for the game, features a bright and colourful pattern

Luis Suarez atakua mchezaji wakwanza Duniani kuvaa kiatu cha aina hii 

 The left boot features a menacing skull design to represent strength, power and hatred 

Like Suarez himself the outrageous boots are likely to divide opinion when they are unleashed on Saturday
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad