Habari njema katika Tasnia ya Filamu Tanzania Bongo Movie ni baada ya wasanii wawili kutia saini mkataba na kampuni ya The Academy inayomilikiwa na Mr Russell ambae ni raia wa Ghana mwenye makazi yake nchini Uingereza.
Muigizaji bora wa Kike 2014 kupitia tuzo za Zanzibar Film Festival (Ziff), Esha Buheti pamoja na Yusuph Mlela wamefikia maelewano na kampuni ya The Academy mpaka kufikia hatua ya kusaini mkataba wa miaka 5 chini ya management ya The Academy.
Kwa sasa Yusuph Mlela na Esha Buheti wapo nchini Uingereza kurekodi filamu na kampuni ya Didas Entertainment.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mmiliki wa Didas Entertainment ambae ndo mwenyeji wao, aliandika hivi kuhusu Esha na Mlela kusaini mkataba
Mtandao wa Blog Ya Vijana ukamvutia waya Didas Facion ili kujua zaidi kuhusu mkataba huo,
alikuwa na mengi yakusema ila kwa uchache alifunguka kuhusu mkataba huo wa miaka 5, kwa kusema
"Esha na Mlela wamesaini na kampuni ya The Academy, na hawa ndo wasanii wakwanza ndani ya kampuni hio, Boss Rossel ana biashara zake huku (Uingereza) na Ghana. ila wanataka kufungua Production yao ili kusaidia wasanii. So wao ndo wasanii wakwanza." alisema Didas Facion.
Hakuishia hapo bali alieleza zaidi kuhusu swala la wasanii hao kuanza kufanya kazi na management hio mpya
"Wakimaliza movie yangu, Then baada ya hapo wanaanza movie za manager wao." alieleza Didas
Tulishindwa kuwapata wasanii hao kwa njia ya simu ila mwenyeji wao Didas alieleza jinsi gani waigizaji hao walivyo furahi baada ya deal hio
"Wamefurahi sanaa, tena sana tu, na wapo tayari kubadilisha game ya movie ndo nia yao kubwa." alisema Didas

"BREAKING NEWS: @eshasbuheti ame sign mkataba na boss wangu mimi ambae pia ni owner wa THE ACADEMY. Kuanzia sasa atakuwa chini ya management ya boss Russell ni Raia wa Ghana ambae anamtaka @eshasbuheti awe anacheza movies za nje. Heshima katika kazi ni jambo jema sana. @mlelabebe pia yupo kwenye management ila habari zaidi nitazileta baadae. It's about time to do the wonders. Asante Allah, jah, Jehovah's."
Mtandao wa Blog Ya Vijana ukamvutia waya Didas Facion ili kujua zaidi kuhusu mkataba huo,
alikuwa na mengi yakusema ila kwa uchache alifunguka kuhusu mkataba huo wa miaka 5, kwa kusema
"Esha na Mlela wamesaini na kampuni ya The Academy, na hawa ndo wasanii wakwanza ndani ya kampuni hio, Boss Rossel ana biashara zake huku (Uingereza) na Ghana. ila wanataka kufungua Production yao ili kusaidia wasanii. So wao ndo wasanii wakwanza." alisema Didas Facion.
Hakuishia hapo bali alieleza zaidi kuhusu swala la wasanii hao kuanza kufanya kazi na management hio mpya
"Wakimaliza movie yangu, Then baada ya hapo wanaanza movie za manager wao." alieleza Didas
Tulishindwa kuwapata wasanii hao kwa njia ya simu ila mwenyeji wao Didas alieleza jinsi gani waigizaji hao walivyo furahi baada ya deal hio
"Wamefurahi sanaa, tena sana tu, na wapo tayari kubadilisha game ya movie ndo nia yao kubwa." alisema Didas
0 comments :
Post a Comment