.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Matokeo ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) zilizochezwa leo Jumanne 10/3/2015


Klabu ya Real Madrid imefuzu quarter finals ya ligi ya mabingwa Ulaya UEFA baada kushinda goli  2 katika kiwanja cha Shalke 04 wiki kadha zilizopita kisha leo kufunga magoli 3 japo schalke 04 wafunga goli 4 ila jumla ya magoli ni 5 - 4. Kwa ujumla mechi ya leo Real Madrid wamecheza chini ya kiwango mpaka kuweza kuruhusu magoli 4 kutoka kwa Schalke 04 kikosi kinachoongozwa na kocha mkuu Di Mateo. Ronaldo ameweza kungara katika mechi ya leo baada ya kufikia rekodi iliokuwa ikishikiliwa na messi ya kuwa na magoli mengi kwenye ligi ya mabingwa, Messi ana magoli 75 huku Ronaldo pia akiwa na magoli 75 baada ya magoli yake mawili ya Leo. kwa upande wa Schalke 04 mchezaji Huntelaar ambae ameshawahi kuchezea madrid aliweza kusumbua mabeki wa Real Madrid pamoja na kipa Casillas huku mchezaji kinda "Sane" ameonesha kiwango cha juu na chakuridhisha sana.




hii ilikua mechi ngumu kwa Basel, baada ya kupokea kichapo cha magoli 4 bila majibu na kunyanyua mikono juu kuashiria mashindano yamemshinda na kumpa nafasi Porto kuendelea kwenye quater finals ya mashindano haya..



Endelea kutembelea Blog Ya Vijana, pia tungependa kuskia maoni kutoka kwako..........

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad