.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Welbeck aimaliza Manchester United, Di-Maria apokea kadi nyekundu, Arsenal Yafuzu Semi-Finals

Danny Welbeck Manchester United Arsenal FA Cup 09032015

Jana 10/3/2015 Mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck alifunga goli lake lakwanza katika kiwanja cha Old Trafford tangu January 2014. Hili ndo lilkua goli lake lakwanza kwenye mashindano ya FA katika kiwanja cha Old Trafford







Mchezaji wa Manchester United Di-Maria akipokea kadi nyekundu baada ya kupewa kadi mbili za njano, kadi ya njano yakwanza alipewa dakika ya 76 baada ya kujiangusha kisha kadi nyingine dakika 77 iliofatana na kadi nyekundu ni baada yakumsukuma refa
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad