.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Mechi za Ligi ya mabingwa Ulaya leo Jumanne 10/3/2015 UEFA


Leo Real Madrid wanakutana na Schalke 04 katika kiwanja cha nyumbani cha Santiago Bernabeu nchini Hispania katika mechi ya marudiano baada ya ushindi wa 2-0 katika kiwanja cha Schalke 04.

Kulinganisha na mechi Tano zamwisho walizocheza timu hizi mbili dhidi ya timu tofauti kabla ya leo ni Hii 
  Picha hapo chini inaonesha kushoto ni Real Madrid na Kulia ni Schalke 04. Unaweza kuona japo Real Madrid wamefungwa mechi yao yamwisho dhidi ya Athletic ila bado wapo katika kiwango kizuri
               Katika mechi 5 zilizopita Real Madrid amepoteza mchezo mmoja na kushinda mechi 3 na droo 1 huku Shalke 04 akipoteza michezo 3 na droo 1 na ushindi 1. Nafasi kubwa ya ushindi leo anapewa Real Madrid kwani ana hasira za kupoteza mechi iliopita tutegeme mechi ngumu leo. 
Je wewe unampa nani nafasi kubwa ya kuibuka mshindi... 
           


Mechi nyingine leo ni Porto vs Basel ambao leo wanakutana kwa mara ya pili baada ya kutoka sare ya 1-1 katika mechi iliopita.




Tabiri matokeo hapa chini....Ujishindie Vocha ya 5000 (Mtandao wowote )

Vigezo na Masharti kuzingatiwa
- Taja ushindi; kwa mfano (Porto 1 - 3 Basel )
kisha eleza: Magoli yote yatafungwa kipindi cha kwanza au magoli 2 kipindi cha kwanza kisha 2 kipindi cha pili) 

Jishindie Vocha ya 5000 (Mpira ukianza haitoruhusiwa Kujaribu)


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad