.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Maradona:"Magoli yangu mazuri zaidi ya Messi."

'My goals more beautiful than Messi's'
Legend wa Argentina amesema kwamba japo mtani wake ni mwenye rekodi, ila yeye alikuwa mchengaji zaidi na mshambuliaji mzuri sana.

Diego Maradona amesema Lionel Messi kwasasa  ndo mchezaji bora wa dunia, ila anasisitiza  kwamba magoli yake yalikuwa 'mazuri zaidi' kuliko ya star wa Barcelona.

Legend huyo wa Argentina , ambae amechezea klabu ya Barcelona,Napoli na Boca Juniors katika wakati wake wa mmeremeto.

Messi the best in the world, but my goals were more beautiful - Maradona
Amekuwa akitajwa kama mchezaji bora kuwahi kucheza mpira.
wakati yeye ana amini mwananchi mwezake ni bora huko kwenye mchezo wakisasa, 
akimuweka juu ya mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo, anasema Messi bado anaendelea kama mchezaji mpira."

"Nadhani magoli huja na style. Nadhani Messi anatafuta style yake mwenyewe, ila ana iharibu na magoli. hii inakufanya kuharakisha kasi. uwezekano mkubwa sana ataitambua style yake hivi karibuni," Maradona alliambia CNN


"Nadhani nilikuwa na stye yangu mwenye kuanzia mwanzo, io ndo sehemu inayo nifanya ni we bora zaidi ya Messi. ila Messi amefunga magoli 300, ambapo nadhani nimefunga kidogo zaidi ya 200 katika wakati wangu wote wa mpira.
"Ila issue ni, magoli yangu ni mazuri zaidi"

Messi alifunga magoli mawili katika ushindi wa 5-3(home&away) dhidi ya Bayern Munich, ambayo imewapa ticket ya kucheza fainili ya ligi ya mabingwa ulaya 2015 dhidi ya Juventus huko Berlin. 

source: goal.com

Tuachie Comment Yako, Unazungumziaje maneno ya 'Legend Maradano'...??
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad