.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Sergio Kun Aguero Mfungaji Bora EPL msimu wa 2014/15, pia List ya wakali wa pasi za mwisho na magoli kwa ligi kuu Hispania



Mshambuliaji wa klabu ya Manchester City, Sergio Kun Aguero ameshinda kiatu cha dhahabu msimu wa 2014-2015 akiwa amefunga magoli 26 msimu mzima 


Raia huyo wa Argentina amemaliza msimu akiwa magoli 5 zaidi ya mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, na magoli 6 zaidi ya mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa.



Goli la mwisho kwa msimu wa 2014/2015, Kun Aguero alifunga katika dakika za mwisho kwenye ushindi wa Man City dhidi ya Southampton.



Kwa upande wa Manchester city, Joe  Hart ametwa zawadi ya Gloves ya dhahabu kwa kuwa na idadi kubwa ya mechi ambazo hakufungwa goli.

Kipa huyo mwenye uraia wa England amewazidi makipa watatu wa timu tofauti kwa mechi 1 bila kufungwa baada ya kuandika mechi ya 14 bila kufungwa katika msimu wa 2014/2015 huku Simon Mignolet na Lukasz Fabianski wakiwa wameruhusu magoli katika mechi za mwisho walizocheza Jumapili (24/5/2015).

Hispania Mambo yameisha Hivi.....

La Liga stats 2014/2015: Top Scorers, Assists & Clean Sheets

 TOP GOAL SCORERS

GOALS
PLAYER
TEAM
NATION
POSITION
48
C. Ronaldo
Real Madrid
Portugal
Forward
43
Lionel Messi
FC Barcelona
Argentina
Forward
22
A. Griezmann
Atlético Madrid
France
Midfielder
22
Neymar
FC Barcelona
Brazil
Forward
20
Carlos Bacca
Sevilla FC
Colombia
Forward
18
Aritz Aduriz
Athletic Bilbao
Spain
Forward
17
Alberto Bueno
Rayo Vallecano
Spain
Forward
16
Luis Suarez
FC Barcelona
Uruguay
Forward
15
Karim Benzema
Real Madrid
France
Forward
14
Jonathas
Elche
Brazil
Forward

MOST ASSISTS

ASSISTS
PLAYER
TEAM
NATION
POSITION
18
Lionel Messi
FC Barcelona
Argentina
Forward
16
C. Ronaldo
Real Madrid
Portugal
Forward
14
Luis Suarez
FC Barcelona
Uruguay
Forward
13
Nolito
Celta Vigo
Spain
Forward
13
J. Rodríguez
Real Madrid
Colombia
Midfielder
10
Koke
Atlético Madrid
Spain
Midfielder
10
K. Benzema
Real Madrid
France
Forward
9
D. Cheryshev
Villarreal
Russia
Midfielder
9
Isco
Real Madrid
Spain
Midfielder
9
Gareth Bale
Real Madrid
Wales
Midfielder





MOST CLEAN SHEETS


CLEAN SHEETS
PLAYER
TEAM
NATION
23
Claudio Bravo
Barcelona
Chile
14
Sergio Asenjo
Villarreal
Spain
13
F. Casilla
Espanyol
Spain
13
Diego Alves
Valencia CF
Brazil
12
Miguel Moyà
Atlético Madrid
Spain
12
Iker Casillas
Real Madrid
Spain
11
Fabricio
Deportivo
Spain
11
Gorka Iraizoz
Athletic Bilbao
Spain
10
Sergio Álvarez
Celta Vigo
Spain
9
Carlos Kameni
Malaga
Cameroon

Source- Goal.Com

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad