Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijiandikisha katika daftari la kudumu
la wapiga kura kwa kutumia mfumo mpya wa kielektoniki(Biometric Voters
Register( BVR) katika kijiji cha Msoga,kata ya Msoga wilayani Bagamoyo
leo.Kulia akiangalia kwa makini ni mwandikishaji msaidizi Bi.Happyness
Thomas Misana na katikati ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi Tume ya Taifa
Uchaguzi Bi.Mariam Rajabu.Kushoto aliyesimama akishuhudia ni Mbunge wa
Chalinze Ridhwani Kikwete.
Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya Uchaguzi Taifa ya Uchaguzi Bwana
Sanif Khalfan akichukua lama za vidole vya Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete wakati Rais alipokwenda kujiandikisha kijijini kwake Msoga
wilaya ya Bagamoyo leo .
Bwana SANIF Khalfan ambaye ni Afisa TEHAMA kutoka ofisi ya Tume ya Taifa
ya Uchaguzi akimpiga picha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati Rais
alipokwenda kujiandikisha kupiga kura kwa kutkumia teknolojia mpya ya
BVR kijijini Kwake Msoga leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitambulisho chake wakati wa zoezi la kujiandikisha kijijni kwake Msoga leo.
Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akimkabidhi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kitambulisho chake cha kupiga kura baada
ya Rais Kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa
kutumia teknolojia ya BVR huko kijijini Msoga wilayani Bagamoyo leo
Mwenyekiti
wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akimkabidhi Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kitambulisho chake cha kupiga kura baada ya
Rais Kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia
teknolojia ya BVR huko kijijini Msoga wilayani Bagamoyo leo(picha na
Freddy Maro)
0 comments :
Post a Comment