Baada ya mstuko wa gharama ya kutangaza kupitia ukurusa wa twitter wa staa wa kikabu nchini Marekani, Lebron James kusamba sasa imefahamika kuwa staa wa klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo anapokea zaidi ya dola 1700 za kimarekani kwa herufi moja tu huku Lebron yeye akipokea dola 1000 kwa herufi.
Wiki iliopita stori zilienea mitandaoni, huku wengi wakipatwa na mshangao wa gharama za kutangaza kupitia kurasa tofauti za mastaa.
Akiongea kupitia ESPN mchambuzi wa maswala ya biashara kwenye michezo, Daren Rovell amesema kampuni ya Opendorse ambayo inahusika na ufatiliaji wa kampeni za kidigitali na mitandao ya kijamii za wanamichezo imesema tweet kutoka kwa James, ambaye ana wafuasi millioni 23.2 ambaye ndo mwanamichezo mwenye gharama ya juu nchini Marekani. Kila tweet kutoka kwa James ina thamani ya dola za kimarekani 139,474
(Kila tweet ina herufi 140, { kwa herufi moja ni dola 1000})
Kwa upande wa staa wa real madrid, Cristiano Ronaldo gharama yake ni ya juu zaidi, itakubidi utoe dola za kimarekani 250,000 ili Ronaldo a tweet tangazo lako, Ronaldo ana wafuasi milioni 37.7
Mfano tweet hii ya chini ya Ronaldo
— Cristiano Ronaldo (@Cristiano) August 27, 2015
Tuachie comment yako
KUSOMA LIST YA WANAMICHEZO WALIOLIPWA ZAIDI KUPITIA MATANGAZO BOFYA HAPA
0 comments :
Post a Comment