.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Hispania Kuunda serikali ya Mseto


Chama cha kihafidhina cha Hispania kinachoongozwa na Waziri Mkuu, Mariano Rajoy kimeshinda katika uchaguzi mkuu lakini kimeshindwa katika uchaguzi mkuu lakini kimeshindwa kupata wingi wa kura za kutosha kuunda serikali ijayo thabiti baada ya cha chake cha Popular Party (PP) kushinda kwa asilimia 28.71 na hivyo kujinyakulia viti 123 vya bunge. Chama tawala PP sasa kinakabiliwa na kibarua cha kuunda Serikali ya mseto baada ya kushindwa kupata wingi wa kura.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad