.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Ja Rule na 50 Cent watishia kuuana


Wakali wa muziki wa hip hop nchini Marekani, 50 Cent na Ja Rule, bifu lao limefikia pabaya ambapo kwa sasa kila mmoja ametishia kumuua mwezake.

Mgogoro wa wawili hao kwa sasa umefikia miaka 15, lakini 50 Cent kupitia akaunti yake ya Instagram, aliweka video ya Ja Rule na kuandika 'HIV' bila kufafanua.

Picha hiyo ilileta maswali mengi kwa mashabiki wa muziki ambapo walitaka kujua nini kinaendelea kati yao, hataa hivyo, Ja Rule naye alitumia akaunti yake ya instagram akiandika kwamba yupo tayari kwa lolote hata kama kujitoa mhanga kwa ajili yake.

"Siogopi kwa lolote, najua 50 Cent ni mtoto mdogo kwangu, nasema niko tayari kwa lolote kama kuendelea kuishi duniani au yeye," alisema Ja Rule
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad