.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

Teksi Nairobi kutoza nauli kwa mita..



Watumiaji teksi jijini nairobi watakuwa wakilipa nauli kulingana na umbali wa wanapokwenda kwa kusoma umbali wa wanapokwenda kwa kusoma umbali kwenye mita. 

Mita hiyo itafungwa kwenye gari kwa ajili ya kuhesabu ya nauli ya mteja kulingana na umbali wa safari na muda unaochukuliwa. 

Kama Sheria hii mpya itapita, Nairobi itafanana na miji mingine duniani ambayo mita hizozinatumika kuhesabu ya nauli. 

Hiyo itawezesha abiria kulipa kidogo wakati wowote hata wakati wa msongamano
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad